Hadithi Iliyo Ndefu Kuliko Zote
Rotimi Ogunjobi
Narrador Ephraim Kamau Njoroge
Editora: Tektime
Sinopse
Mtoto mdogo Minnie Makepiece alikuwa na hamu ya kushinda safari ya likizoni ya kutembelea Disneyland kwa kusimulia hadithi iliyo ndefu kuliko zote, kwa hivyo akaenda kuzungumza na Grandpa Makepiece.
Duração: 7 minutos (00:06:53) Data de publicação: 03/05/2021; Unabridged; Copyright Year: — Copyright Statment: —