Waliokataliwa - Hadithi Ya Kuchekesha Ya Kisasa Ya Familia Ya Popo
Owen Jones
Translator Kennedy Cheruyot Langat
Publisher: Tektime
Summary
Heng Lee aanza kuhisi ajabu sana ghafla, kwa hivyo akakuja kumwona mganga wa mtaani, ambaye ni shangazi yake. Akafanya uchunguzi kadhaa na akaamua kuwa Heng hana damu, lakini ataambiaje familia yake, na watafanya nini kuihusu?