Join us on a literary world trip!
Add this book to bookshelf
Grey
Write a new comment Default profile 50px
Grey
Subscribe to read the full book or read the first pages for free!
All characters reduced
Robo Mwezi - Watumishi Wa Campoverde - cover

Robo Mwezi - Watumishi Wa Campoverde

Massimo Longo, Maria Grazia Gullo

Translator Kenlan

Publisher: Tektime

  • 0
  • 0
  • 0

Summary

Dunia ambayo Elio anatorokea huenda isiwe kipande cha mawazo yake, lakini utando uliofumwa kwake. Wakati wa likizo kijijini atapata fursa ya kukutana na mlinzi atakayemfichulia ukweli. Kando na kundi la kuchekesha, wa ukweli na wa kimawazo, atapambana ili kujipatia tena uhuru wake. Vituko vya mtoto huyo vitakufanya ufahamiane na mapepo, mlinzi, kifuli, vidonda, tulivu za miujiza, na utasafiri kote duniani ukitumia taa za trafiki,ukizunguka mbuyu au kupaa ndani ya mpira wa barafu.
Available since: 04/06/2021.

Other books that might interest you

  • Sayari Saba - Kituo Cha Angani Cha Kijeshi - cover

    Sayari Saba - Kituo Cha Angani...

    Massimo Longo, Maria Grazia Gullo

    • 0
    • 0
    • 0
    Sayari Saba: kwenye mfumo sambamba wa jua, watu kutoka sayari saba tofauti wanajihusisha katika mapambano ya wakati ambayo yataamua hali yao ya baadaye. Hatima ya wahusika wakuu imeingiliwa na, chuki,mapenzi na tamaa, katika jaribio la kutawala au kukomboa watu wa mfumo wa jua wa KIC. Sayari za kubuni na za kipekee, jamii tofauti na tamaduni zao zitajumuika kwenye vituko vya ajabu ili kupigana dhidi ya tamaa ya mamlaka ya adui mcheshi
    Show book
  • Waliokataliwa - Hadithi Ya Kuchekesha Ya Kisasa Ya Familia Ya Popo - cover

    Waliokataliwa - Hadithi Ya...

    Owen Jones

    • 0
    • 0
    • 0
    Heng Lee aanza kuhisi ajabu sana ghafla, kwa hivyo akakuja kumwona mganga wa mtaani, ambaye ni shangazi yake. Akafanya uchunguzi kadhaa na akaamua kuwa Heng hana damu, lakini ataambiaje familia yake, na watafanya nini kuihusu?
    Show book